mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
nimekupata...nitafanya fasta fasta
term hii uwahishe maana kuna watu wanazimendea kweli hizi hela[/QU
term hii uwahishe maana kuna watu wanazimendea kweli hizi hela[/QU
yani...nimeshayasahau! kumbe urembo dawa!!! sasa inabidi wakuwowe humu cc!
ha ha ha..haya..kwani hujui niko na mume humu?
mhhh makubwa! hapa kuna mambo mawili its either nazeeka au im not well informed!
hiyo ya pili yake..itakua
zinapendeza mamy....ila inategemea na ipi unataka iwe nyingi!!! sipendi brown iwe nyingi.....looks like wale mafadha wa makapuchino!!! (((sorry for this comment)))
usipotee tena utatuua kwa mawazo ya kukufikiria.
Hata weye shem, tafwazali usiwe unapotea kama barafu juani...
ntajitahid shem... ukiona nimepotea tu unanistua. lol.
Orait wala usijali shemegi wa mimi, halafu dada yako umemtoroshea wapi?
hhhhhaaaahhha!!! wewe usimtaftie visa. nataka kuongea nae ucku wa leo. home wote tunajua yupo kwako.
Mmmmh😱 me nang'aa mimacho tu
usipotee tena utatuua kwa mawazo ya kukufikiria.
Mmmmh😱 me nang'aa mimacho tu