Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
Elimu O level shughuli yoyte kwa kujishikiza hta ikitokea kibarua haina shidaWeka CV yako vizuri
Niko Dar mkuu, shukurani kwa hili, shughuli yoyote ya kiume hta ikiwa kibaruaOngeza nyama kijana, uko wapi, shughuli gani unaweza, zipi ulishawahi kuzifanya kwa usahihi etc
Kujiamini kunasaidia wengi , wewe ulikua unajiamini, huogopi na unaweza kujitetea.Kwetu ni kijijini sana, na nilibahatika kusomeshwa na Ba mkubwa huko mjini.
Hivyo kuja kwangu mjini ilikuwa kusoma tu baada ya hapo nilitakiwa kurudi bush.
Nilivyomaliza form four niliwaza sana je nirudi kijijini? Ni nikienda huko naenda kufanya nini? Akili ikagoma kabisa.
Nilikuwa nikiamka Asubuhi napotea hapo nilipokuwa nimefadhiliwa nazunguka tu hovyo mjini, nikiona mlango wa kampuni ambao nahisi naumudu, nazama ndani, nauliza chochote kinachokuja kichwani.
Nakumbuka nilizama coca-cola, nikamwambia natafta banda la kuuzia soda, wakaniambia meneja hayupo labda uje kesho, ndio ikawa story ya Kila siku nikienda hayupo..
Nilifanya Ile nenda Rudi kwa week mbili..week ya tatu nikambahatisha, wapambe wakamwambia huyu dogo Kila siku anakutafta.
Meneja hakuwa na baya akaniuliza unashida Gani; akili ikaja ya ghafla Nimwambie natafta kazi. Kweli nikamwambia natafta kazi, akajibu kwa Sasa hamna kazi lakini acha namba yako ya Simu ikipatikana tutakutafta.
Nilitoka kinyonge sana, nikaendelea kuzunguka mjini, home narudi jioni sana.
Baada Kama mwezi nikaona napigiwa Simu na namba ngeni; kupokea nashangaa anajitambuliaha ni yule meneja wa coca-cola, akaniambia kesho njoo ofisini uanze kazi.
Nilifurahi sana ingawa sikujua ni kazi Gani, kesho yake nilivyoenda kweli kwa elimu yangu ya wakati huo, nilipata kazi ya kukagua wateja na kuhakikisha sokoni Kuna product ya kutosha kampuni.
Nilienjoy sana, nikajuana na watu wengi na ndio safari yangu ya kuanza kuwa mafanya kazi.
Mkuu usipende kuamka nyumbani na kushinda nyumbani, toka nenda katafte, riziki itakufata huko huko.
Shukurani mkuu na uko sahihi hili neno kuamkia na kushinda nyumbn ni tafsiri ya kutokuwa na kitu cha uhakika cha kufanya lkn natembeq sema siku hizi si km zamani yale maeneo rahisi kuvuna vbarua km viwandani wengi wamebadilisha utartibu wa kuwa na vbarua wao.Kwetu ni kijijini sana, na nilibahatika kusomeshwa na Ba mkubwa huko mjini.
Hivyo kuja kwangu mjini ilikuwa kusoma tu baada ya hapo nilitakiwa kurudi bush.
Nilivyomaliza form four niliwaza sana je nirudi kijijini? Ni nikienda huko naenda kufanya nini? Akili ikagoma kabisa.
Nilikuwa nikiamka Asubuhi napotea hapo nilipokuwa nimefadhiliwa nazunguka tu hovyo mjini, nikiona mlango wa kampuni ambao nahisi naumudu, nazama ndani, nauliza chochote kinachokuja kichwani.
Nakumbuka nilizama coca-cola, nikamwambia natafta banda la kuuzia soda, wakaniambia meneja hayupo labda uje kesho, ndio ikawa story ya Kila siku nikienda hayupo..
Nilifanya Ile nenda Rudi kwa week mbili..week ya tatu nikambahatisha, wapambe wakamwambia huyu dogo Kila siku anakutafta.
Meneja hakuwa na baya akaniuliza unashida Gani; akili ikaja ya ghafla Nimwambie natafta kazi. Kweli nikamwambia natafta kazi, akajibu kwa Sasa hamna kazi lakini acha namba yako ya Simu ikipatikana tutakutafta.
Nilitoka kinyonge sana, nikaendelea kuzunguka mjini, home narudi jioni sana.
Baada Kama mwezi nikaona napigiwa Simu na namba ngeni; kupokea nashangaa anajitambuliaha ni yule meneja wa coca-cola, akaniambia kesho njoo ofisini uanze kazi.
Nilifurahi sana ingawa sikujua ni kazi Gani, kesho yake nilivyoenda kweli kwa elimu yangu ya wakati huo, nilipata kazi ya kukagua wateja na kuhakikisha sokoni Kuna product ya kutosha kampuni.
Nilienjoy sana, nikajuana na watu wengi na ndio safari yangu ya kuanza kuwa mafanya kazi.
Mkuu usipende kuamka nyumbani na kushinda nyumbani, toka nenda katafte, riziki itakufata huko huko.
Mungu atakusaidia mkuu, uzuri unaonesha Nia ya kupambana, wenye fursa watakuona.Shukurani mkuu na uko sahihi hili neno kuamkia na kushinda nyumbn ni tafsiri ya kutokuwa na kitu cha uhakika cha kufanya lkn natembeq sema siku hizi si km zamani yale maeneo rahisi kuvuna vbarua km viwandani wengi wamebadilisha utartibu wa kuwa na vbarua wao.
Siku hizi wanatoa zaidi tenda kwa kampuni na sio kiwanda kuwa na vbarua wake km zamani
ShukuraniMungu atakusaidia mkuu, uzuri unaonesha Nia ya kupambana, wenye fursa watakuona.
Usiache kumwamini Mungu na kumuomba kwa Imani, muda ambao uko idle, Fanya kazi ya Mungu naye atakukumbuka.
Pamoja mkuuMungu akuongoze kweny Kila la kherii kwako mkuu
Uko sahihi mkuuNaelewa hali unayopitia...
Pambana wala usikate Tamaa.
Kuna vitu ukiviweka ktk dimension flan unakosa majibu, unakuw na stress, afya inashuka kiwango, kila mtu unamuona ni adui..
Umesomeka mkuuNenda kwenye vijiwe vya madalali kuna michongo mingi sana huko
HakikaPamoja mkuu