Nawakumbusha tuuuuu...kesho church

wanaharibu biashara ya watu
 
Bango kama hilo hata pale St. Peters Oysterbay lipo..

Ila pale Sy. Peters pamekithiri sana...hasahasa English Mass...Ni balaaa
 
wanawake ( women) na wanaume ( men); jinsia ya kike (female) na ya kiume ( male).
 
Haingii akilini kabisa mtu unajua unaenda katika nyumba ya ibada halafu unavaa mavazi ambayo si ya heshima utadhani unaenda kudate au club.sijui ni ulimbukeni au ni maksudi??
 
Nimecheka hapo kwenye nguo zenye picha za kutisha. Kumbe hata nembo ya AON inatisha!. Ila nachojua jezi zote za michezo yote,zimekatazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…