Nawahitajia ndugu zangu

Ili umpate mwanamke huku inabidi uwe na extra talents, unatakiwa uwe katili mno, kama ulikuwa na baby face inabidi i change kwa muda at least mwaka au miaka hii ni kwa ajili ya analysis la sivyo utabeba zigo lenye historia au background ya ajabu...
 
Yaan bwana mdogo kama umeamua kutafuta humu inakupasa ujiandae kisaikolojia.
Ngoja nikusaidie kuwaita.
atoto , miss chagga, charty, kuna kipusa kinalandalanda njoo mkitoe upepo

ila jamaa yupo serious amejielezea vizuri..nifah mamie kizur unakula na mwenzioo ebu njoo
 
Mmmmmmmh kumbe kuoa ni kazi kubwa namna hii nilikuwa cjui Mungu awe upande wako ungekuwa mkristo ningejitosa kapochi kawe kametuna lakin hahahahahahaaaaaaaa
 
Umeanzia mbali kila la kheri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…