Hujitambui bado ndugu kwa kuwachukia watanzania.Maana kila matatizo/kitu unachotaka kijadiliwe hapa kimesababishwa na siasa na bado hiyo hiyo siasa ndiyo inayoendelea kuharibu hivyo basi watu wengi lazima wapitie huko huko kwenye siasa kupambana.
Au wewe ulitaka wapitie wapi kupambania haki zao zinazosababishwa na siasa/serikali ya nchi hii ambayo imeimeza mihimili mingine ya nchi kama Mahakama na Bunge?
Mbona kajitambua ndo maana kaandikia huu uzi
Kwani hiyo siasa unayotaja ni ya Pundamilia Au faru......ni yet sisi na do hatupendi na hajipendi yeye pia including siasa zetu
Najichukia mimi na wewe pia yaani kama tupo disco tunacheza tu hata miziki tusiyoielewa maana tumo.....prakata tuumbaa............tumbaaaaa
:focus: :focus: