Ubuyu mchafu
New Member
- Nov 26, 2022
- 4
- 41
Inasikitisha sana mkuuInasikitisha mno kuwa tunaishi kwenye nchi ambayo sensitive issue kama hii inaishia kulalama humu JF, wananchi wa nchi nyingine wanafanikiwa wapi ambapo watanzania wanashindwa?,push backs zitaanza vipi na lini?,Hamza (rip)alionyesha njia baada ya kudhulumiwa ?,tuendelee kula mtori mifupa tutakutana nayo chini.
naunga mkono hojaJifunze kulipa kisasi aliyekufanyia ubaya mpe anachostaili aya mambo ya kumuachia Mungu yatakutesa maisha yako yote kama huwezi kumshtaki basi pigs komboraa alale kitandani afilisike kwa ugonjwa
Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
huu ndio uanaume,ila siku wakikuparamia wengine mambo ya ongeeni na ndugu yangu huyu hapa achana nayo maana hatakupa msaada,si anajua wewe ni snitch😁Polisi hata kama ni ndugu yangu sitaki ukalibu nae shenzy sana hawa viumbe
polisi ni kielelezo cha uozo wote nchi hii.Kuna timu iliundwa ya kufanya mapitio ya namna Jeshi la Polisi linavyofanya kazi.
Tabia ya kubambikia kesi na kupokea rushwa imeota mzizi