DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Jun 9, 2017 #2 Wewe hapo si umeajiriwa kupiga picha tu??? Nani amekiruhusu ukaribishe watu?
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 Jun 9, 2017 #3 embu kuwa serious..utanialikaje kwa picha hivi..nialike nyumbani kabisa
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Jun 9, 2017 #4 Hii dini wanajipenda jamani lol
jozzeva JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,193 1,827 Jun 9, 2017 #5 mambo ya mapochopocho kwenda mbele..
The Bleiz JF-Expert Member Jan 7, 2012 5,068 13,485 Jun 9, 2017 #6 Siji. Hakuna hata kirikuu ya kushushia.
middle east JF-Expert Member Dec 30, 2016 1,307 1,685 Jun 9, 2017 #7 Ila washua mda wa futari wanakuwaga vizuri aiseh
Kozo Okamoto JF-Expert Member Oct 14, 2013 3,391 1,543 Jun 9, 2017 #8 upate futar hii baada ya surat bukunyu,ili ubukunyuke upate buku buku,utaipenda mwenyewe
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,644 18,707 Jun 9, 2017 Thread starter #10 Ramea Na uraia wa Tanzania mkuu.... Kama ilivyo kwa kina Mo, Rostam na Manji... wale ni wahindi ila wazaliwa wa bongo
Ramea Na uraia wa Tanzania mkuu.... Kama ilivyo kwa kina Mo, Rostam na Manji... wale ni wahindi ila wazaliwa wa bongo