BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,895
- 8,057
ha ha ha haTeh teh ndo dada mmoja pale chuo ana mahusiano cjui na tcha ss genye cjui zilimzid akampgia tcha ucku saa 5 ss akapokea mkewe anaulizwa shida yke anaanza kusema course work yke hajajaziwa.......c uzush huo.
Mvaa Tai! Pole qa masaibu!Wadau naombeni ushauri nimsaidieje huyu dada ili kuokoa ndoa yake maana jana amerudi nyumbani kwake lakini mmewe hamsemeshi kitu chochote, akijaribu kumuelewesha anamuambia aje kwangu yeye hataki kuishi naye, najisikia vibaya sana kwasababu mimi ndiyo chanzo na naofia maisha yangu kujisogeza kwenda kunusuru hii ndoa.
Angekataa kumfanyia huyu dada kaz zake angeenda kumpokea mumewe Airport!?
Angeacha kuzfanya kwa sababu kuna vitu havielewi na kuogopa kuwasiliana na huyu mama kesho arud ofisin akute km alivoiacha,ingekua ni bora zaid kwa mtazamo wenu?
Na km ni daily report ambayo lazima itumwe everyday je angesema nin huyu dada kwa bos wao kesho kazin?
Inawezekana hamjakutana na hii hal bado!
mme wake mjinga,achana nae,huna kosa.Mwanaume unazira?!!!!
apa umemaliza kila kitu. Ni ngumu sana mtu atembee na mke wa mtu halafu aombe kukutanishwa na mume wa mtu na kumueleza mkewe kuhusu hiyo ishu hii ina maana yuko tayari kukutanishwa na mkewe akiwepo mbele ya jamaa na mke wa jamaa. Wakati mwingine si bora kuchukua maamuzi tukiwa na hasira kwani matokeo yake ni maamuzi mabaya. Ni rahisi zaidi kujua mkeo anauhusiano na mwanamume mwingine kuliko mwanamke kujua kuwa mumewe anamwanamume mwingine.
Jamaa ilitakiwa ajue wazi haiwezekani mtu mwenye uhusiano na mkewe ajue kuwa jamaa anarudi na wako pamoja airport wwanarudi nyumbani then ampigie mkewe na mke awe huru kupokea hiyo simu kwa muda wote na akawa anaongea bila kumkatia jamaa akliyempigia.
Jamani tuacheni wivu wakijinga tujenge uaminifu na tusichukua maamuzi tukiwa na hasira kwani tunapokuwa na hasira ibilisi anakuwa karibu yetu kumuoa au kuolewa isije ikawa eti tunanyimana uhuru wakuwasiliana na marafiki zetu wa kazini au nyumbani. Simu ya mumeo au mkeo ni ya kwake huwezi pokea bila ruhusa yake.
Hao wazazi wako wasingeheshimiana wewe ungepata wapi jeuri ya kujivunia wao?Hata mim hili nimelishangaa mama angu husema "MUME/MKE WA KWANZA NI KAZI YAKO"
kwa mujibu wa huu hata iweje usiache kaz yako ambao ndo urith walokupa wazaz wako kupitia elimu kisa kumrithisha mwenz wako naye anapaswa kuithamin na kuishem kaz yako na wewe vile vile!