Navuna kitunguu maji

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
445
Reaction score
231
Wasalaam ndugu zangu

poleni na majukumu ya kila siku,kama kichwa cha habari, kinavyojieleza,,i kitunuu maji

soko lipoje ndugu zanguni,kwa maelezo zaidi

0672302714
 
wasubiri wajuvi waje pia kila la khair kwenye biashara yako.
 
Mkulima hongera sana kwa hatua yako naona kama hujapata msaada wa kutosha humu ndani kuhusu masoko vipi ushauza?

Kam hutajali mkuu unaweza kutupa tips kidogo za hicho kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…