pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Not used at all kwa picha zaidi mwenye kuhitaji anichek WhatsApp kwa 0763772636Halionekani vizuri hapo. Kwa uzoefu mjini meter 1 ni 45000 to 47000.Kwa bei hiyo unayouza ni nzuri kama siyo used.
Karibu kiongozLiko poa ngoja tuwasubiri waje
We mtata nakwambiaKama sio used at all, mbona umelifua na kulianika my dear
hahahahhha we jamaaa weweeChukua 50 njoo nalo mwanzaa
Asante kiongozi 50 hailipi boss haya ni Yale mazulia quality sio Yale ya kukata kwa meter lete 70 nikuuzie coz ata sijalitumiaChukua 50.... ila nalihitaji daslamu.
Halipi kiongoz lete 70 ni the best quality na halikatumikaChukua 50 njoo nalo mwanzaa
Sijalifua hapo nimelinyanyua watu wameshika nikalipiga picha angalia vizuri utaona mikono ya watu halijafuliwaKama sio used at all, mbona umelifua na kulianika my dear
Zuria bado ipo na uko wapi ni kuchek kesho nifateHabari wakuu nauza zulia lenye rangi ya cream ukubwa ni meter mbili na nusu kwa moja na nusu
Mahali lipo moshi ila kwa aliyoko mwanza naweza mletea coz ninasafari za uko mikoa mingine nitakutumia kwa basi bei elfu 75 tu
Chek me WhatsApp kwa 0763772636
Karibuni sana
Njoo nalo mwanza man nakupa 65Sijalifua hapo nimelinyanyua watu wameshika nikalipiga picha angalia vizuri utaona mikono ya watu halijafuliwa
Niko moshi nakutumia popote na kama upo mwanza nakuleteaZuria bado ipo na uko wapi ni kuchek kesho nifate