Nauza YouTube Chanell Yangu

Unataka Kusema Millard Kila Anacho post Anapata View Milion Sababu Subscribe anoa Zaiidi Ya Milion...Ni Youtuber Pekee Anaye Elewa Ili Na Awezi Uliza Kama Wewe
 
Sijamzibia MTU rizki Mimi , rizki yake IPO chini ya mungu wake,
Mi nimetoa alert kwani kina zumaridi walikuja hivohivo.
Nimeweka Apo Mawasiliano Yangu .Lakini Bado Unataka Kumanisha Vile Ambavyo Wewe Unajisikia. Wewe Ni YouTuber? Au Umeamua Kutumia Ubungo Wako Kwenye Tangazo Langu
 
Nimeweka Apo Mawasiliano Yangu .Lakini Bado Unataka Kumanisha Vile Ambavyo Wewe Unajisikia. Wewe Ni YouTuber? Au Umeamua Kutumia Ubungo Wako Kwenye Tangazo Langu
Kaka nimekosa Mimi nisamehe Sana sikujua kama nitakuharibia biashara yako Ila kama utakuwa sio muelewa na hapa basi fresh Tu kama mbwai mbwai Tu.
 
Nimeweka Apo Mawasiliano Yangu .Lakini Bado Unataka Kumanisha Vile Ambavyo Wewe Unajisikia. Wewe Ni YouTuber? Au Umeamua Kutumia Ubungo Wako Kwenye Tangazo Langu
Never kumbembeleza mwanaume mwenzio
 
Kaka nimekosa Mimi nisamehe Sana sikujua kama nitakuharibia biashara yako Ila kama utakuwa sio muelewa na hapa basi fresh Tu kama mbwai mbwai Tu.
Aina Ya Watu Kama Wewe Mupo Wengi Sana. Ungetaka Kumanisha Vile Ulivyo Jijengea Picha Kichwani, Ungenipigia Simu Ata Ujifanye Mteja Afu Ungekuja Kuweka Apa Itimisho Lako, Lakini Ukufanya ivo
 
Aina Ya Watu Kama Wewe Mupo Wengi Sana. Ungetaka Kumanisha Vile Ulivyo Jijengea Picha Kichwani, Ungenipigia Simu Ata Ujifanye Mteja Afu Ungekuja Kuweka Apa Itimisho Lako, Lakini Ukufanya ivo
Sina huo muda mkuu na kitu pekee nilichofanya ni kutoa tahdhari kama umemind fresh.
Ninachotaka kukushauri katika maisha haya usitegemeewatu wote watakukubali au watu wote watakukataa,tegemea wa Pande zote na jifunze kupokea challenge ndogondogo kama hizo.
Ukiendelea kuning'ang'ania utanifanya niamini kuwa wewe ni tapeli na kama so tapelli kwanini uchukie kauli yangu.
 
Acha Unachofanya Mzee..Anaye Nunua Chanell Ni YouTuber..Na YouTuber Anajua Namna Ya Kununua Chanell. Akuna YouTuber Anaye Tapeliwa Wewe Sio YouTuber Acha Kunichafulia Tangazo Langu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…