Natafuta mteja wa kumuuliza Xbox One, nipo Arusha . Ina memory ya 500gb pia ina inakuja na pads zake mbili na games tatu. Bei ni 550,000 ila inapungua kdg.
Mzee bna izo bei za wapi ok xbox 360 ndio bei zake wasio jua tu 360 ni lavel y ps 4 na xbox one n lavel y ps 3 kwaiyo mzee sikupangii ila laki 3 unaweza pata mteja