Asante kiongoziKila la kheri mkuu!
kivipi?Madude mabovu sana hayo
Hili napinga nimetumia zile pocket wifi sijaona shida yoyote ata hii pia sijaona shida yoyote mpk sas ila kabla hujanunua kuna vitu vya kuzingatia kama location uliopo je mtandao upo kuna baadhi ya maeneo mtandao mbovu sana usitegemee wifi itafanya kaziMadude mabovu sana hayo
Ina bando la mwez mzima boss wangu ongeza ongeza kidogo tufanye biasharaElfu 50 ipo mfuko wa shati, kama uko tayari nipm tumalize
okeiKutumia lain ya mtu ndo msala, si unajua tena... Alaf router saiz sina matumizi nayo kwakweli. Bando ya jero inanitosha mie
Sina zaidi mkuu, asanteIna bando la mwez mzima boss wangu ongeza ongeza kidogo tufanye biashara
unanunua kitu unapata matatizo unauza tafakari sana maieha yako ni mabaya sana hapo baadaeBEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa)
• Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura.
• Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani).
• Bei ya Dukan: TSh 100,000
• Bei ya Kuuzia: TSh 85,000
Ina bando la mwezi mzima nimenunua Tarehe 8 tu nimepata matatizo imenibidi niiuze ili kulitatua kwanza.
Mazungumzo kidogo yapo
• Mahali: Dar es Salaam
(Mbezi mwisho)
• Mawasiliano: 0614 048 461
View attachment 3707287
BSina zaidi mkuu, asant
Basi usiwazeSina zaidi mkuu, asante
Ndo hivyo ndugu yangu ila kikubwa kimfaacho mtu chake kuliko kukopa bora niuze hiki nikichonacho nijue natatua vipi hili jambounanunua kitu unapata matatizo unauza tafakari sana maieha yako ni mabaya sana hapo baadae
Hizo nzuri, mabovu Yale mengine wameacha kuyauzaMadude mabovu sana hayo
Bora uongee wew boss wanguHizo nzuri, mabovu Yale mengine wameacha kuyauza