Nauza Westpoint air condition bei nzuri

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
514
Habari zenu wakuu (IMESHAUZWA)
Nauza air condition aina ya WESTPOINT yenye maelezo kama lebo yake inavyosomeka hapo chini pamoja na picha nyingine

Imetumika kwa muda wa miezi sita tu. Na nilikuwa naitumia ofisini kwangu, haina tatizo lolote. Naiuza kwa sababu nahama jengo na sehemu niliyopata zipo air condition

Bei ni Tsh laki nne na nusu (450,000/=) maongezi yapo

Mahali inapatikana, Kurasini, Dar Es Salaam
Mawasiliano 0659 211 222.
Whatsapp vile vile napatikana katima namba hiyo hiyo
1463233446089.jpg
1463233478838.jpg
1463233507553.jpg
1463233531968.jpg

IMESHAUZWA.
 
Attachments

  • 1463233135677.jpg
    1463233135677.jpg
    137.7 KB · Views: 61
  • 1463233326788.jpg
    1463233326788.jpg
    137.7 KB · Views: 53
Habari zenu wakuu
Nauza air condition aina ya WESTPOINT yenye maelezo kama lebo yake inavyosomeka hapo chini pamoja na picha nyingine

Imetumika kwa muda wa miezi sita tu. Na nilikuwa naitumia ofisini kwangu, haina tatizo lolote. Naiuza kwa sababu nahama jengo na sehemu niliyopata zipo air condition

Bei ni Tsh laki nne na nusu (450,000/=) maongezi yapo

Mahali inapatikana, Kurasini, Dar Es Salaam
Mawasiliano 0659 211 222.
Whatsapp vile vile napatikana katima namba hiyo hiyo
View attachment 347529View attachment 347532View attachment 347536View attachment 347539

Nne na nusu mbali saana.....chukua mbili kamili tumalizane.Elecrical goods hazina guarantee
Mkuu nashukuru kwa kuonyesha nia. Pesa yako ni kubwa lakini haitoshelezi kwa bidhaa hii. Ongeza pesa, nakuuzia kitu ambacho nina uhakika nacho na mimi sio dalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom