Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Eneo: 600 sqm

Ni hatua za kutembea 20 kutoka barabara kubwa inayotoka Magomeni kuelekea Sinza.

Nyumba imejengwa kwa chumba na sebule 4 zikiwa na block mbili zinazotazamana.

Chumba na sebule mbili zita-share choo na bafu upande wao, na block ingine inayotazamana nayo watafanya vivyo hivyo.

Siyo bondeni kwamba kunajaa maji, kumezungukwa na nyumba za kisasa mbele yake (ipo video nashindwa kui-upload hapa).

Pana nyaraka zote halali, na hakuna mgogoro wowote.

Bei: TZS. 29m

Call: 0717 650800
View attachment 2432188View attachment 2432190View attachment 2432195View attachment 2432196
Hilo jina la "Popo bawa" liministua kidogo!
Hapo ndipo alipoibukiaga huyo kiumbe aliyekuwa anawatafuna wanaume?
Enewei kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom