mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 850
- 663
Tumia namba zangu kwa mawasiliano ya kutaka kujua bei, ni chek mida ya mchana.Tangazo halijakamilika. Weka bei kwa square mita moja
Wakuu nimewasiliana na jamaa anasema square metre moja anauza kwa shilingi laki moja TZS. Kwa hivyo kiwanja cha sq metre 900 ujiandae kulipia milioni tisini TZS ( bei ya chini hiyo
).
Haupo serious na biashara ww. Sijawahi kuona bei ya kitu inakuwa confidential. Tangazo lako pia ungetutumia kwa sms basi. Nina wasiwasi ww utakuwa dalali. Kwa taarifa bei ya viwanja itaporomoka sana ktk kipindi hiki cha magufuri maana hela itakuwa ngumu na vitakuwa haviuziki kwa hizo bei zenu mnazo inflate. Kwakuwa na nyie hali kifedha itakuwa ngumu kwenu, mtalazimika kuuza kwa bei mlionunulia au chini ya hapo. That is economics.Tumia namba zangu kwa mawasiliano ya kutaka kujua bei, ni chek mida ya mchana.
Wakuu nimewasiliana na jamaa anasema square metre moja anauza kwa shilingi laki moja TZS. Kwa hivyo kiwanja cha sq metre 900 ujiandae kulipia milioni tisini TZS ( bei ya chini hiyo
).
Haupo serious na biashara ww. Sijawahi kuona bei ya kitu inakuwa confidential. Tangazo lako pia ungetutumia kwa sms basi. Nina wasiwasi ww utakuwa dalali. Kwa taarifa bei ya viwanja itaporomoka sana ktk kipindi hiki cha magufuri maana hela itakuwa ngumu na vitakuwa haviuziki kwa hizo bei zenu mnazo inflate. Kwakuwa na nyie hali kifedha itakuwa ngumu kwenu, mtalazimika kuuza kwa bei mlionunulia au chini ya hapo. That is economics.
Acha uongo mkuu, hata mimi nimekupigia simu umesema bei ni laki moja kwa sqm.Hapana, hujawasiliana nami, kwa mwenye uhitaji atanipigia
na nitamjulisha bei yangu kwa kiwanja chenye hati miliki ya serikali kuu.
Usiogope ndugu tuwasiliane namba zangu zote zipo hewani.
Duh sqmt 1 tsh 100,000/
Huyu mleta uzi huu atakuwa ni dalali tu au kakurupuka kulileta tangazo hili
Maana kuna jamaa ana viwanja maeneo ya ukonga staki Shari tena viwanja vina hati sqmt 1 moja ana charge tsh 25000/
Wewe utakuwa ni dalali tu kwani kuna ubaya gani ukidalalia kitu!kama mali syo yako kuwa open tumimi sio dalali,
na usidanganye watu, hujawasiliana na mimi.