Nauza vitu vyangu vya ndani

Nimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya

Vipo mwanza
Mawasiliano 0765682453
Natavyaanjee
 
Ungeweka picha pia ingeongeza weight
 
Kwani lazima ucomment
Mnawaharibia wenzenu biashara zao kwa mambo yenu ya kijinga

Sent from
Ni mambo ya kijinga na ya kitoto,,utakuta wengine hapo ni watu wazima na familia zao!
 
Pole Mkuu Ipo 1.5m mkono wa shati nivunje na tv & na hiyo home theatre.
No offense lakin ndo bajeti yangu.
 
Pole sana Mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…