luv over hate
Member
- Apr 20, 2017
- 55
- 39
- Thread starter
- #101
1=280Mkuu naomba unisaidie bei ya dresing table na meza na Hilo taa ambalo lipo juu ya friji. Nipe bei ya 1.meza
2.taa
. 3.dressing table
2=25
3=70
1=280Mkuu naomba unisaidie bei ya dresing table na meza na Hilo taa ambalo lipo juu ya friji. Nipe bei ya 1.meza
2.taa
. 3.dressing table
Kasema anasepa bongo na arudiKagua list vizuri mkuu yawezekana wewe sio hewa umeangalia vibaya usijeuza kila kitu afu ukajikuta unalazimika kuanza maisha kama ajira mpya
mi nataka sofa na ako kameza mkuuHa hah unataka nini mkuu...vitubnauza na wateja wanatiririka mbaya..
Korea kaskazin mkuuBei chee ndo hela ya wapi hiyo!!ya somalia au chad??
Wahi fastermi nataka sofa na ako kameza mkuu
Nipo tabata mawenzUko wapu am interested na acqurium ,
350 chiefPs3 mkuu mwisho ngapi?
Chumbaa??????KIONGOZI nataka chumba chote bei gani
Vishauzwa vingiBei ya jumla room unauzaje na vitu zote mkuu
Samsung fridge..450kFrigi bei gani?
SoldNipe bei ya tv inbox