luv over hate
Member
- Apr 20, 2017
- 55
- 39
NASEPA BONGO na sitarud ng'o
Sasa nafanya kubwaga mali zifuatazo.
PS3 cracked imenyooka sana, ipo na vifaa vyake vyote. Pad 2, ndani kuna games 6. Huna haja ya kununua CD.
Fridge la samsung, size ya kati. halijawahi kupitiwa na fundi, limenyooka sana.
Kitanda 5 kwa 6 na godoro lake la nchi 10. Ukinunua hii...unapewa na godoro la nyongeza.
Dressing table mchina...hii ndo nauza bei ya kutupa kabsa.
Feni za juu (panga) x2.. Panasonic...bado yamenyooka saana pia.
Kabati la nguo..milango mitatu, sio mchina. Bado lipo mma kabsa.
Kabata portable la vyombo..mchina...hili nauza bei chee..ukinunua unapewa na vyombo kadhaa unaze maisha fresh.
Meza ya kisasa ya kioo ilojikunja. Hii imenyooka saana.
Sofa..muundo mzuru..ila zimeanza kulegea...hizi nitakubwagia tu ukitaka.
Simtank la maji, lt 1000 jipyaa...bei chee nalo.
Saa za ukutani zipo mbili. Original. Nazo bei chee.
Aquarium (fish tank 80lt.) la kisasa ndoo kubwa 4 za maji, lenye taa na chini lina kabati nalo bei chee.
Stand ya kisasa ya tv sio mpyaa ila ya kinyamwezi saana.
Samsung music, HT 1000wt.
Sony TV..led. 48" nayo bei chee.
Stand ya nguo ya kisasa kabsa.
ma jaba ya maji x3. Hayo bei ya kisela tu utapata...ndoo na vifaa vidogo vidogo nitatoa free tu kwa mteja wa maana.
Km upo interested nichek whatsapp kwa picha na story za bei...ila amin nakwambia hii ni offer ya mwaka.
0628930306
Mfano.