Habari wakuu nahama nauza vifuatavyo
Godoro inch 8 bei 140,000/-
Jiko dogo la gesi ( linagesi ilijazwa wiki moja iliyopita) 25,000/-
Feni 60Watts bei 25,000/-
Tray ya vyombo ngazi nne bei 10,000/-
Vikontena vipo vinne 10,000/-
Ndoo 2 na beseni vyote 6,000/-
Vifaa vya usafi vyote bei 6,000/-
Viatu vya kike(vipya havijawahi kuvaliwa) namba 38 bei 4000/-
Vitu vyote hivyo vina takribani miezi miwili tangu vinunuliwe.Pia mazungumzo yapo najua hatuwezi shindwana bei. Nipo kigamboni mji mwema. Karibuni sana ukichukua vingi utapunguziwa na kuongezewa vingine.
Mawasiliano 0752904918/0683500221