Nauza vitenge wax original kutoka Congo

Nauza vitenge wax original kutoka Congo

Hotebaby

Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Ukihitaji wax original nitafute usiogope napatikana Dar es salaam, utaletewa popote... dot 1, sh.45000...

Pia kuna vitenge vya hitaget dot 1,sh. 40,000 unakaribishwa sana.
 
Nimemnunulia wife kwa 35,000/= hapa moro, tena nlinunua kitenge bila kujali kama ni wax lakini alivyokiona akashangaa nmetoa wapi wax original.
 
iyo co original kaka kuna fek mfano wa orginal na ukikiangalia utasema original sasa km huamini mwambie akifue aone km hakivuji
 
Back
Top Bottom