Nauza vikombe, kumi ni 14,500/- TU

Nauza vikombe, kumi ni 14,500/- TU

Kwa hiyo maana yake kimoja ni TZS 1,450/-.

Kwani Kariakoo bei gani?
Kimoja ni hivyo mkuu, kama unataka kwenda kariakoo Bei ni 1800. Hii Bei nauza mm dar nzima
 
Daaah nimechelewa kuona tangazo lako. Siku nyingine naomba unitag please
 
Back
Top Bottom