Nauza vifaranga

Nauza vifaranga

gloria jm

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
60
Reaction score
22
Wadau nauza vifaranga wa kienyeji (chotara) wa kuanzia siku 3 nauza sh 1500 wiki 1 sh 2000 wiki 2 sh 2500 karibuni sana.
 
Vipi naweza kupata vya kuku wa kisasa hasa wa nyama hasa wale wa Kiracha (kiraracha?)
 
Sasa si uweke namba ya simu ? Watu engine bwana ? Tujaribu kuwa serious kidogo tunapoweka haya matangazo ya kuuza.

Wadau nauza vifaranga wa kienyeji (chotara) wa kuanzia siku 3 nauza sh 1500 wiki 1 sh 2000 wiki 2 sh 2500 karibuni sana.
 
NIMEPENDA HILO BANDA LAKO MKUU.
kama unaweze tuwekee picha yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom