Nauza vifaa vya saloon ya kike 600000

Nauza vifaa vya saloon ya kike 600000

Awamu hii fashion ni kunyoa tu wateja wa salon mwisho kwa jakaya, kwa magu ni mwendo wa viparaa
Wapo mkuu sana tuu lakini biashara ya salon inahitaji usimamizi ulio tukuka ,,tofauti utaishia kuibiwa hutaona hela ile uliotakiwa kuona! Nauza niongezee kwenye kitu kingine mambo yaende kuliko kuwa na biashara nisio ona faida
 
Back
Top Bottom