Modem bado ipo mkuuHabari wandugu
Nauza 3G HSPDA universal modem mpya Tsh. 30000/=. Napatikana Ubungo Riverside DSM
Kwa anayehitaji,njoo pm tufanye biashara. Nitakuletea ulipo (dsm)bila gharama ya ziada. Zimebaki mbili tu kwa sasa.
Hapana boss, comment yako sikuona ndg, nimeiona baada ya hii comment ya ndg hapa chini4g zipo mkuu?