Pendoloveness
Member
- Aug 4, 2015
- 5
- 0
Nauza ufuta kwa wafanya biashara wadogo wadogo. Ufuta ni mweupe kilo 2700. Kwa mawasiliano piga 0624 089909
Kwa bei ya lejaleja sokoni ndo bei yake.Bei elekezi ni sh.2000 wewe hiyo umetoa wap?
Na wengine wanauza elf tatu adi elf tatu na mia tano.Kwa bei ya lejaleja sokoni ndo bei yake.
Nauza kilo moja kwa sh. 2700.una kilo 2700 za ufuta ama unauza kwa kilo moja sh 2700/= ya ufuta
Sina kilo nyingi sana, nina kama gunia moja na nusu.Nauza kilo moja kwa sh. 2700.