Nauza ufuta

mputamaseko

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
1,401
948
Habari za mchana wana JF natafuta mteja wa kununua ufuta, nina ufuta zaidi ya kilo 2,000
Ufuta unapatikana shambani kwangu nje kidogo ya Mkuranga, Serious Buyer naomba anicheki private kwa mawasiliano zaidi. Karibuni sana
ufuta.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom