Nauza ubuyu mtamu wa embe

Mimi nishakupata nataka wa kuonja,(Nitahitaji mwingi kwa kukuunga mkono)
 
Nauza ubuyu wa embe ambazo zimekaushwa na kupikwa kama ubuyu ni mtam sana kwa anaehitaj 0654695943 Tabora. Jumla na rejareja kwa bei nafuu sana 1000 kwa 500

[emoji115]Dear naruhusiwa kutumia hii namba yako ya simu kwa mambo yetu yale?[emoji7]
 
Nauza ubuyu wa embe ambazo zimekaushwa na kupikwa kama ubuyu ni mtam sana kwa anaehitaj 0654695943 Tabora. Jumla na rejareja kwa bei nafuu sana 1000 kwa 500
Hongera sana kama ukijaribu kupeleka india kuna soko kubwa sana kule kuna mdau mmoja nilimsikia redioni yeye ni mtanzania ila anaishi kule india ndiyo biashara zake hizo pia anapelekaga na dagaa wale wa mwanza safi sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…