Nauza ubuyu mtamu wa embe

Tafuta jina lisilokuwa na neno ubuyu kwani wasiopenda ubuyu hawatanunua kwa sababu za kisaikolojia.
 
Hongera kwa ubunifu. Ila ningependa kujua kama unaongeza nguvu za kiume... Ukiwadanganya hivyo wateja, watauchangamkiajeee?
 
Hongera kwa ubunifu. Ila ningependa kujua kama unaongeza nguvu za kiume... Ukiwadanganya hivyo wateja, watauchangamkiajeee?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duh[emoji28] haya sasa masihara ila nashkuru kwa ushaur.
 
Hongera sana kwa ubunifu. Nahitaji za tsh 5000 nazipataje, nipo Mwanza-Magu.
 
Tupe somo kidogo juu ya unachokiuza. Ubuyu najua na embe najua, ila bado sijaelewa hiyo combination. Naomba elimu kidogo kama hautojali.
 
Tupe somo kidogo juu ya unachokiuza. Ubuyu najua na embe najua, ila bado sijaelewa hiyo combination. Naomba elimu kidogo kama hautojali.
Embe mbichi
Ark rose
Unga wa ubuyu
Rangi
Sukar
Maji
Unakata embe kama chips then unazianika mpaka ziwe kavu kabisa baadayapo ndo unaanza zipika unaipika sukar had itoe povu unatia vtu vyote isipokuwa embe unaweka mwisho. Litakuwa kama uji zito then unaweka sasa embe unafanya kama unasonga baada ya hapo zikikauka teyar kuliwa
 
Kwa wanaoujua washafaham jina ndo hilo ubuyu wa embe

Ubuyu ni zao linalotokana na Mti wa Mbuyu. Hivyo hiyo ni product ya embe na sio ubuyu.

Ikishakuwa ubuyu haiwezikuwa embe.

Asanteee kwa product yako natamani nipate ya kuonja
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…