Ngatelefijo
Member
- Jan 7, 2014
- 20
- 3
Wadau habari zenu nina tv 2 zimekaa tu ndani naziuza zina hali nzuri naweza sema ni kama mpya. Hiyo ya inch 21 ni singsung nyuma ina chogo lkn mbele flat stand yake yakuzunguka inatakiwa laki na nusu na hiyo inch 18 ni kama hiyo kubwa lkn yenyewe inatakiwa laki moja. Kwa yeyote anicheki kwa namba 0713791233. Napatikana dar kimara mwisho. Karibuni