Nauza trekta aina ya Massey Ferguson MF 185, Hp 68.

Nauza trekta aina ya Massey Ferguson MF 185, Hp 68.

hmhl

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
22
Reaction score
22
Trekta lipo sokoni, lipo katika hali nzuri, limetumika miezi 2 tu nchini, ni hp 68.
Bei ni milion 29 tu! Mazungumzo yapo.

Nifuate PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
IMG20180519111428.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liko njema mkuu lakini ungeweka taarifa za kujitosheleza kabla hujafatwa PM ni wapi lilipo ni kitu muhimu.
 
Kwa sababu ni kubwa, ni hp 68.
Then kwa yeyote anayeyajua matrekta, ukimtajia MF 185 anajua unazungumzia nini..

Hakuna Massey Ferguson ya uhakika kuwahi kutengenezwa kama hio MF 185.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom