Nauza gari Toyota RAV 4, imetembea KM 150,000, ipo katika hali nzuri
Nauza gari Toyota RAV 4, imetembea KM 150,000, rangi ni black metalic, ipo katika hali nzuri, insurance and road licence valid up to February and March 2015 respectively. Ni production ya mwaka 1997.
Duh, wakuu mbona mmerusha mawe, n way nauza Tshs milioni tisa namba ni T193BQC