Nauza Toyota Raum 13 million ipo Arusha

Nauza Toyota Raum 13 million ipo Arusha

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
336
Reaction score
314
Habari Wadau Nina Toyota raum new model kwa bei nzuri nipo Arusha kwa anayehitaji anicheki kupitia namba 0718146734 kupata picha au tembelea Facebook page yetu ya Arusha automobiles.
Year: 2003
Engine: Vvti
Cc 1496
Odometer: 64559 km
V4
 
kw hiyo bei kwa gari hiyo lazima uweke rim na sports tyre nene,mziki mkubwa wenye dvd flat screen booster na spika atleast ya watts 2000, usb, fridge ndogo na iwe rangi nyeusi kama haina hivyo vitu sahau kuuza akitokea mtu mwenye m6 -8 usirembe chukua na utambae
 
Mkuu ingekuwa wakati wa machimbo ya mbuguni(mererani) ningesema unaweza pata ila kwa usawa huu iyo bei uliyotamka unaweza ukanunua gari kama hizo mbili.
Habari Wadau Nina Toyota raum new model kwa bei nzuri nipo Arusha kwa anayehitaji anicheki kupitia namba 0718146734 kupata picha au tembelea Facebook page yetu ya Arusha automobiles.
Year: 2003
Engine: Vvti
Cc 1496
Odometer: 64559 km
V4
 
kw hiyo bei kwa gari hiyo lazima uweke rim na sports tyre nene,mziki mkubwa wenye dvd flat screen booster na spika atleast ya watts 2000, usb, fridge ndogo na iwe rangi nyeusi kama haina hivyo vitu sahau kuuza akitokea mtu mwenye m6 -8 usirembe chukua na utambae

kabisaa. uko sahihi mopaozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom