Nauza tofali used zipo idadi 200

Niletee uzo zote site yangu ipo hapa kibaha picha ya ndege
 
Ningezichukua. Sema kuzibeba toka hapo hadi site yangu ni mbali, naweza kuzibeba hadi nikapatwa kikoozi
 
Hiyo site walikunya hapo nini?
 
Bei ya mwisho
 
Lete bei ya mwisho tupate cha juu mana napafahamu apo na kunamshua anataka tofari za kujengea chemba la choo
Bei ya mwisho ndio iyo, tofali moja 500/= (ni tofali za block sio za kuchoma)
 
Lete bei ya mwisho tupate cha juu mana napafahamu apo na kunamshua anataka tofari za kujengea chemba la choo
Kwa sasa tofali inch 5 inauzwa 1100/=, inch 6 inauzwa 1300/=, Mimi nauza kwa kuwa ni Used kwa shilling 500/= Tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…