10,000tsh? Upo wapi? Kwanini unauza? Kwanini ninunue? Siku hizi biashara ni zaidi ya chagulaga hivyo usiache kuweka taarifa yoyote yenye manufaa kwa mteja!
Hazina faidaa..talkin from experience. ..utajikuta unapata loss au kulipia kodi buree....yn voda unawafanyia biashara..mteja anakatwa hela kubwa thn ww unayejirisk kwa majambazi...hela ya dagaa unalipwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.