Nauza ticket ya ndege Mwanza - Dar.

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,408
Reaction score
2,282
Wakuu!
jumatano nilikata ticket ya FastJet toka Mwanza kwenda Dar ya kusafiri siku ya kesho asubuhi tarehe 10.03.2014 ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimecancel safari hiyo na sitarajii kwenda dar hv karibuni.
Nimeenda ofisi zao hapa mwanza hotel hawataki ku cancel my trip ila wanaruhusu ku change trip na uwalipe changing fee tsh elfu 40.
Sipo tayari kufanya hvyo kwani kutokana na majukumu yangu sitaweza kuondoka.
Kwa hiyo ndugu zangu mwenye hitaji hilo tutafutane kuliko kupoteza ticket hii iende bure.
 
Ticketi nimenunua around 150,000 ila nitakuuzia kwa punguzo la 25%.
 
Tafadhari wakuu tusaidiane katika hili.
 
ahsante kwa taarifa

tukisoma kwa nyuma utaona tkt yako airuhusiiwi kubadilishana na mtu yoyote

kwa kufanya hivyo unaenda kinyume na masharti ya tkt..naagiza uongozi wa mwanza kama nilivyowatumia email tar kumi akikisheni mnaangalia vitambulisho kimoja baada ya kimoja na picha za wausika zifwatane na majina ya tkt ilivyoandikwa...
 
Ningenunua ila nikikumbuka Malyasian air lines,mweeh,ngoja nisahau kwanza
 
Acha sifa za kitoto wewe... kwahiyo unataka apoteze hela yake? ???? Anaweza akaiuza vizuri tu na ikatengenezewa kitambulisho fake.
 
Acha sifa za kitoto wewe... kwahiyo unataka apoteze hela yake? ???? Anaweza akaiuza vizuri tu na ikatengenezewa kitambulisho fake.

Ticket hauwezi kubadilishana ukinunua kwa ajiri yako hauwezi kumuuzia mtu mwingine.

Ingekuwa Fast Jet sio low cost Airline ungeweza kurudishiwa pesa yako, low cost hawarudishi chochote hata kama wao ndio wamesababisha. Hizo ni hiden costs za low cost Airline
 
pole mkuu, cjawahi panda ndege toka nizaliwe ningekuwa na hela ningenunua aseee, teh teh
 
Najua sana mkuu. Ila pia inaweza kutumika kwa mtu mwingine kwa kitambulisho fake. Hapa mjini mzee.
 
Tafuta mawakala wadogo wadogo, watakuwa na wateja wao wanaweza wakakuuzia.
 
Najua sana mkuu. Ila pia inaweza kutumika kwa mtu mwingine kwa kitambulisho fake. Hapa mjini mzee.

bucho yaani nihangaike kutumia kitambulisho fake ili kuokoa 25%? Shida yote ya nini? Kama mkuu kaahirisha safari akubali kupoteza kiasi hicho cha pesa. Tujifunze kuwa waaminifu mmoja mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Shida unapenda mteremko kubali pia madhara yake
 
Duuu!
Mkuu umenishupilia ile mbaya, ina maana huna huru na pesa yangu.
Tatizo zle iforn nilizipata baada ya kukata ticket.!!!
 
Nafanya haya yote ili kuokoa kile kidogo nilichokitoa kuliko kukipoteza.
Ikiwezekana I will thanks my lord ikishindikana itabidi tu nikubaliane na masharti yao yaani pesa yangu iteketee.!
 
Fastjet ni wahuni tu na sijui kwa nini serikali inawaacha wanafanya wanavotaka, nina tkt ya precision nimebadilisha mara 5 hv bure kabisa na bado iko valid ntasafiri april...na bado naweza kubadilisha..precision ni bora sana.
 
ni kweli kaka!
Kuna urasimu mkubwa sana kwa hawa FastJet.
 
Fastjet ni wahuni tu na sijui kwa nini serikali inawaacha wanafanya wanavotaka, nina tkt ya precision nimebadilisha mara 5 hv bure kabisa na bado iko valid ntasafiri april...na bado naweza kubadilisha..precision ni bora sana.

fastjet sio wahuni, hiyo ndio mode ya biashara yao. Katafute maana ya low cost carrier afu utofautishe na precision. Watanzania msipende kukurupuka, kama hujui kitu bora uulize. Otherwise pole sana kaka uliyehairisha safari ghafla, kwa ufupi iyo ela imepotea.
 
Ni wahuni tu nawe utakuwa unashirikiana nao, tiketi ya basi inabadilishwa ijekuwa ya ndege?
 
Change ticket peleka hadi mwezi wa 10.

Hata ufanye hivyo bado jamaa wanakomaa na wewe tu. Ukishalipa hiyo elfu 40 ya kukushusha bado utatakiwa kununua ticketi ya bei kubwa zaidi ya ile ya awali. Yaani kwa kuwa alinunua Tshs 150,000/= basi atalipia 40,000/= (kushushwa) halafu itabidi anunue ticket yenye bei kubwa zaidi ya hiyo kama160,000/= hata kama atasafiri mwakani ambapo tiket za 45000/= zipo. Hayo ndiyo masharti ambayo yameandikwa kwa maandishi madogo "fine print" ambayo yanaumiza macho kuyasoma. Ikishakukuta wanakuonyesha kuwa imeeandikwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…