Laki6 ??????wakuu kwa waliopo mwanza nauza simu pendwa hapo juu!! simu ina miezi miwili tu na haijawahi kuchokonolewa ni mpya kabisa kama imetoka. dukani nauza 600k kwa watakao hitaji wasiliana nami kwa 0755303275
sababu ya kuuza nimekwama mahali na nahitaji pesa ya haraka nikaona sina jinsi niuze simu pendwa juu.
karibuni.
Yaani ningekwambia sasa hv uje town hapa maeneo ya CBE keeplef ya samaki niione tufanye biashara lakini bei hyo tena TECNO,no mkuu siwezi kukushusha toka mia6 mpaka mia2 unaweza dhani nimekudharau siyo vzrmkuu ulitaka niuze kiasi gani?
niambie utaichukua kwa sh ngapi? ni PM mkuu tufanye biasharaYaani ningekwambia sasa hv uje town hapa maeneo ya CBE keeplef ya samaki niione tufanye biashara lakini bei hyo tena TECNO,no mkuu siwezi kukushusha toka mia6 mpaka mia2 unaweza dhani nimekudharau siyo vzr
mkuu mia 2 hapana ...labda mia 500k ndo mwisho maana nilichukua 800k na imetumia miez 2 tuYaani ningekwambia sasa hv uje town hapa maeneo ya CBE keeplef ya samaki niione tufanye biashara lakini bei hyo tena TECNO,no mkuu siwezi kukushusha toka mia6 mpaka mia2 unaweza dhani nimekudharau siyo vzr
Usiogope,ndo mana nimesema "MNA MOYO" kisha nikakupongeza.mkuu kipendacho roho Mimi ni mpenzi mkubwa wa tecno phones..ndo maana sikusita kuichukua hiyo
Kaka Tecno kuuziwa laki 8 ulipigwa pakubwa sana, kama tecno laki 8 iphone ziuzwe bei gani sasa?, pole lakinimkuu mia 2 hapana ...labda mia 500k ndo mwisho maana nilichukua 800k na imetumia miez 2 tu
mkuu simu hii sikununua uchochoroni nimeichukua kwenye agents wa tecno phones pale opposite na STANBIC BANK Kama unapajua...na ndo zilikua zinauza hiyo bei mkuu hizo phantom 5 zilipoingia.!! au kuna tecno nyingine mkuu unaisema hii ina finger printKaka Tecno kuuziwa laki 8 ulipigwa pakubwa sana, kama tecno laki 8 iphone ziuzwe bei gani sasa?, pole lakini
mkuu mia 2 hapana ...labda mia 500k ndo mwisho maana nilichukua 800k na imetumia miez 2 tu