WANA JF. bado sijaliuza hili Tank. Wapo walionisha Nia ya kulitaka lakin hawakuw siriaz . So kw yeyte mwnye kuhitaji Tank KIBOKO LITA 3000. Karibuni Sana.
Nakuelew mkuu. Hili sio SIMTANK hili ni KIBOKO na kiboko ni imara San na Nd ambayo ndan meupe na ni magumu San uliza hardware yeyte. KIBOKO LITA elfu 3 haishuki chini ya 500k