Nauza suruali za kadeti

Kwa mfano nikihitaji tano unanipa discount kiasi gani au utaniuzia hiyo hiyo 23,000.
Nahitaji za kuvaa sio biashara

nothing is easier than blaming others for your own problems
Ok, kimsingi comrade nilisha ifanyia discount hapo ndio mana nauza 23,000 na ktk hiyo hiyo hela nakuletea mpaka kwako
 
Ok, kimsingi comrade nilisha ifanyia discount hapo ndio mana nauza 23,000 na ktk hiyo hiyo hela nakuletea mpaka kwako
Kwangu huwezi kuleta kwa kua ni nje ya mkoa wa Dar es salaam.
Lakini hata huku nilipo bei ni around 23000 sasa nilitegemea huko mjini kutakua na discount ya maana kumbe kama huku nilipo tu.
Hizo Diesel na Jeep nanunua 23000-24000 mkuu

nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Huku inategemea kama hizo nazouza kuna maduka wanauza hadi 30k ila mimi nimefanya favour sitak faida kubwa kwakuwa najua hali ilivo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…