Nauza suruali za kadeti

Haha unazingua ww..tecno wereva
Mnapiga soga nyie khaa!!![emoji50]

Hiyo itel nini...mbona yangu haina ivo vidole?

[emoji106] [emoji106]

Mambo gudi mkuu.

You?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] mambo vp!

Hahaha aiseee!

Mungu anakuona

We dawa yako tunakutegeshea chuma kwenye gar ichanike ndo utanunua mpya

Hehe nisaidie kuweka grisi

Haha hana hela tena unapenda mtelezo ee..ebu acha ubahili upendeze
 
Size 38 hiyo ya chini ni ya kuvutika
 

Attachments

  • 20180203_192908.jpg
    157.3 KB · Views: 91
  • 20180203_192354.jpg
    156.5 KB · Views: 94
CADETI ZAKO ZINA PAUKA AU MWENYE UTAALAM ATUANGALIZIE KAMA HIZI NI ZILE ZINAZO PAUKA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…