dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
- Thread starter
-
- #261
Wewe upo wap? Kwanza na ishu ya kudeliver naleta psc zozote utakazo kua unahitajiUna deliver kuanzia PC ngapi kwa dar? Gharama za usafiri si juu yako?
Nakucheki WhatsApp..Wewe upo wap? Kwanza na ishu ya kudeliver naleta psc zozote utakazo kua unahitaji
Na kuhusu usafiri ni juu ukiwa dar
Ukisema flat una maana gan sijakupata? Sio mdo kamanda karibuHizi kadet ni zile 'flat' au ni zile mnaita 'modo'..?!
Jibu tafadhali, nataka nijilipue.
Hii ya ukweli sana mkuu!
Comrade ni tsh23, 000 karibuHii ya ukweli sana mkuu!
How much..?
Tulia hvyo hvyo ntakununuliaHii ya ukweli sana mkuu!
How much..?
Hehe...nasubiri sana mkuu! Ila isije ikawa mwakani!Tulia hvyo hvyo ntakununulia
Mwakani tena mwaka huu huu ..alafu me ndo muuzaji ujueHehe...nasubiri sana mkuu! Ila isije ikawa mwakani!
Uyu tumpunguzie kidogo ni jirani yanguComrade ni tsh23, 000 karibu
Hahaha ngoja ufunguliwe mashtaka ya wizi wa kimtandao ...hatukutolei dhamanaMwakani tena mwaka huu huu ..alafu me ndo muuzaji ujue
Huyo dingimtoto nmemkabidh kwa mda
Hahaha na hana hela!Uyu tumpunguzie kidogo ni jirani yangu
Haha hana hela tena unapenda mtelezo ee..ebu acha ubahili upendezeHahaha na hana hela!
Hehe nisaidie kuweka grisiHaha hana hela tena unapenda mtelezo ee..ebu acha ubahili upendeze
We dawa yako tunakutegeshea chuma kwenye gar ichanike ndo utanunua mpyaHehe nisaidie kuweka grisi