Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

dingihimself

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
9,802
Reaction score
20,296
Wandugu nauza kadeti original tsh.23,000 ni za kuvutika na staff jeans (office jeans) tsh 22,000 pia jeans 18,000 pamoja na mashati na
t-shirt18,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea ulipo namba yangu 0657438581 WhatsApp pia ipo
hizo ni baadhi ya kadet karibuni
2017-07-22+14.42.jpg
2017-07-22+14.43.jpg
20170720_175429.jpeg
20170720_175528.jpeg
2017-07-22+14.42.jpg

Size kuanzia 30 mpaka 40
 
Ni Wapi huko?
Miji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom