Nauza sofa na fridge

Nauza sofa na fridge

760200d37a1b4ff643a702f97869789e.jpg

pole ndugu, kwa kweli waitaji hela, yani umebakiza mabobo mawili uliyojaza maji ya bomba kwenye fridge? bora tu uuze fridge ma maji yake tu....
 
Lina miezi mitatu nimelinunua juzi tu sema nimepata majanga

iphone 7
 
Kama unataka kuquote simu ijulikane ni iPhone 7 japo sio kweli andika hivi.

Sent from my iPhone 7 using jamii forum mobile apps.
 
Pole sana kwa majanga mkuu, vipi decoder ni ya kampuni gani? Bado ipo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom