Umekosea kidogo mahesabu, bado 7.Ndio kwanza mwaka wa pili bado mitatu. Pole mdau!
Labda hujaelewa namwongelea nani! Huyu nnaye mwongelea wanafanyiwa usajil kila baada ya mika mitano sio saba wala kumi!!Umekosea kidogo mahesabu, bado 7.
Asante sanaPole mkuu kwa matatizo, nimejikuta nakumbuka wakati mgumu ambao nilipitia kipindi fulani! Naamnin huu upepo utapita
Fridge ni nzima kabisa nipo dar buza namba nimeweka juuFrij nzima mkuu,nitumie namba kama uko dar,naitafuta.
Ule mda ulotumia kunijibu. Ungeniandikia bei. InatoshaLkn bei si ameshakuandikia jaman
Mbona friji halina vinywaji/
Asije akatuwekea picha ya RaimundoWeka picha ndugu
Sina hela mkuu ya kinunua vinywaji kwa sasaMbona friji halina vinywaji/
Buza kanisaniUkwap kwan
Buza kanisaniUkwap kwan