Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,094
- 12,831
Hapo ndo umeharibu. Miaka minne???? Halafu unauza 450000 wewe uliinunua shngpi?Ndio na hata miaka 10 au zaidi na kwa sasa hazipatikani madukani muulize mtu atakwambia nokia x2 -02 ni habari nyingine mkuu hapa nimeshaitumia miaka minne ila hata kuguswa na fundi haijawahi.
Kula 25 m nkutumie pesaMkuu shukrani kwa yote uliyonena , hapa unanishauri niiuze kwa ngapi? Manake kama kuperuzi internet sio tatizo katika speed .
Hapana mkuu kuna watu wameshapanda dau elfu 30 nasubiria kumaliza biashara muda wowote.Kula 25 m nkutumie pesa
Niliinunua 115 k (laki na kumi na tano) naiuza elfu 45000 elfu.Hapo ndo umeharibu. Miaka minne???? Halafu unauza 450000 wewe uliinunua shngpi?
Duh! Kweli wewe mtunzaji, mimi simu haifiki mwaka ishapotea[emoji12]Niliinunua 115 k (laki na kumi na tano) naiuza elfu 45000 elfu.
Hahahahaha upo vizuri kiongozi !Duh! Kweli wewe mtunzaji, mimi simu haifiki mwaka ishapotea[emoji12]
Update na ka picha basiNimesha iupdate nimeweka bei.
Mkuu hahaha mimi nipo ushirombo mambo ya chato hata siyajui.Duh kumbe hadi wabantu hadi miji yenu inafanana kwa majina... Ila rombo imeendelea na inapendeza sijui huko geita... Ndipo uwanja Wa ndege Wa kimataifa unajengwa sio...Chatle international Airport
Mkuu kama utakuwa mgeni wa simu za nokia unaweza kudhani itakufia mkononi kwa kuwa ina miaka 4 tangu niinunue , mkuu niliinunua laki 1 na elfu 15, 115000/=Hapo ndo umeharibu. Miaka minne???? Halafu unauza 450000 wewe uliinunua shngpi?