Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,533
Nimesha iupdate nimeweka bei.This world is too busy more than we think.
Hivi ungeongeza details kama vile bei n.k ungepunguza maswali kwa mhitaji.
Mtu mwingine hana nia na kitu unachokitangaza ila ukiweka bei akiona inamridhisha na kwamba hata akitoa pesa hatayumbisha mfuko huweza kununua.
ni vigumu ku upload picha humu jf kama unataka kuiona igoogle Nokia x2-02Picha nayo ni muhimu
Ndio na hata miaka 10 au zaidi na kwa sasa hazipatikani madukani muulize mtu atakwambia nokia x2 -02 ni habari nyingine mkuu hapa nimeshaitumia miaka minne ila hata kuguswa na fundi haijawahi.Simu unatumia miaka 8
Mkuu ongeza hata elfu kumi basi tumalize biashara.Kula 20
Mkuu ni 3g ina kasi ya hatari karibu mkuu 30 tu nakupa simu.vipi mtandao wake ni 3g au 4g??
X2 ina 3G!?Mkuu ni 3g ina kasi ya hatari karibu mkuu 30 tu nakupa simu.
Mkuu mi nauza x2-02 na sio x2 kama unavyosema wewe , kumbuka kuna x2-01 na x2-02 sijui unamaanisha ipi?X2 ina 3G!?
Sawa kiongozi kwani wewe unapatikana wapi ?Bei nzuri.
Kama hautaiuza ndani ya siku kadhaa takutafuta
Acha uongo mkuu hiyo ni 2g... Kwa ram ipi hadi iwe na net ya 3gMkuu ni 3g ina kasi ya hatari karibu mkuu 30 tu nakupa simu.
Mkuu shukrani kwa yote uliyonena , hapa unanishauri niiuze kwa ngapi? Manake kama kuperuzi internet sio tatizo katika speed .Mkuu soma hapo kwenye NETWORK ndipo utagundua hiyo simu haina 3g.... Mwaka 2017 utumie simu isiyo na 3g kweli??