Asante kwa ufafanuzi wako ndio mana nilisema ni simu ya kikorea kwahiyo hata bei yake inafanana na hizo tabia ulizosemaHyo ni nokia lumia 610 windows 7.5 kwanza haifanyi ussd(huwezi kununua vifurushi, ussd inayokubali ni ya kuuliza salio tu), pili haitakubali whatsapp coz version ya software yake haisapport version mpya ya whatsapp
Kama uzipendi pita pembeni huna sababu ya kuonyesha kilicho kichwani mwako kwa watu wengine mkuu