Waungwana kwa anaeiitaji hii simu tuwasiliane,bado iko poa ila sema hai-support code USSD yaan mpesa,tigopesa, na vifurushi na hii ndivyo ilivyoundwa so kwa mwenye utayari no. yangu ni 0767954466 (bei n 235000/=)
hyo nlijaribu kwa kutumia zune mkuu na ikamaliza ila nkijaribu inanigomea tu sema kuna member mmoja aliniambia ntumie emdial nayo nkadownload lakn inasupport kwa mtandao wa mtn ya S.A pekee.