Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
- Thread starter
-
- #81
Naona iyo adhabu kam ni ndogoOk , unashindwa hata kumfedhesha humu????
Mfedheshe,, fedhea inaumiza akili.
Ningekua mm..ningedeal naye.... Au ningemfedhehesha humuhu.
Muhuni huyo ,hana lolote
Na yeye ni policeUnavyo ongea kama vile ulikuopo uko sahihi kabisa we umejuaje?
Aaahh usiogope, yaivi mengi nayaona, naishi nayo kila siku , ivo naelewa kilichoendelea !!!.Unavyo ongea kama vile ulikuopo uko sahihi kabisa we umejuaje?
MaybeNa yeye ni police
Ok so nisingepata iyo pesa ningefungwa?Aaahh usiogope, yaivi mengi nayaona, naishi nayo kila siku , ivo naelewa kilichoendelea !!!.
Weka hiyo namba, nakama ni ya voda ,tumuumbue hapahapa... Weka hapa iyo namba , tujue mpaka alipo.Hamn sikuanza nae private sema kweny hule uzi nlikosea nikaweka namba ya simu ivyo akawa ananicheki mtu yoyote
+255 744 582 166 toka jana usiku alikuwa ananiwindaWeka hiyo namba, nakama ni ya voda ,tumuumbue hapahapa... Weka hapa iyo namba , tujue mpaka alipo.
Kachoma tenaaa...Usingeandika kwenye uzi kama umetoa hela mkuu....usijechomeshwa kwa watu wa TAKUKURU humu kama ulivyopelekwa police
Jamaa anavuta bhangii huyuuuEdit ufute....utaingia tena kwenye matatizo
Yani nashida na hela sana tu sema simuhamini tena mtu yani nashindwa ata nifanye nini simu nataka kuuza sema kumpata mtu wa uwakika ndio shida
Aaaahhh mtoto wa baba, unajua ukipatwa na tatizo akili inahaha,,, ukizingatia jamaa kaona atapigwa miaka 30 kwa kitu chauongo ..so ilo hajalifikiria.Kama wamemlazimisha hakutakiwa kutoa na yeye angewafikisha police hahahahahahahahahah
Me nimemwambia naona wenzie wanampa moyo hahahahahahahahahahniuziee mimi... Nikuchomeshe tena takukuruu..!! mtoa rushwaa mkubwa wewe...
Nakweli iyo ni adhabu ndogo sana..tena kama ni limtu lizima libaba linamindevu na watoto ndo lizuri lakufundishia adabu.Naona iyo adhabu kam ni ndogo
+255 744 582 166Nakweli iyo ni adhabu ndogo sana..tena kama ni limtu lizima libaba linamindevu na watoto ndo lizuri lakufundishia adabu.
Namba iko wapi???
Kwa hiyo atafute afisa wa TAKUKURU ee....aka-claim hela yake... Lakini ajue aliyetoa na aliyepokea wapo sambambaAaaahhh mtoto wa baba, unajua ukipatwa na tatizo akili inahaha,,, ukizingatia jamaa kaona atapigwa miaka 30 kwa kitu chauongo ..so ilo hajalifikiria.
Ila sasa sababu ameshapata imani na nguvu mpya, ndo muda wa kudeal nao iyo pesa wairudishe !!
Nasiku izi ,wanaoogopa sanaa
Hapana usingefungwa, wangekuachia ila ungelala central.Ok so nisingepata iyo pesa ningefungwa?
Ok poa , ngoja kesho siku ya kazi !! Nitakutumia picha zake PM nkm niyeye, umfungulie uzi hapahapa JF+255 744 582 166
Ilo ndo jambo la msingi.Kwa hiyo atafute afisa wa TAKUKURU ee....aka-claim hela yake... Lakini ajue aliyetoa na aliyepokea wapo sambamba
Tangazo linasemaje mkuu sijalionaKatika post za kipumbavu ni ile ulioweka, na sikuzote principal ya biashara usioneshe unashida kiasi gani sikuzote wateja huchukulia advantage kwako, ila pole yako