Nauza simu ya infinix note 2

Ndio ivyo nimemshangaa kinoma kanibadilikia kabisa akajifanya tunajuwana
Hahahaa alitaka kukupiga..msimu wa sikukuu huu.

Amin nakuambia, kama ni usalama au polisi. Wengi humu wagekua wameshakamatwa.

Huyo ni Jambazi tu alitaka kukupiga !!!

Ungemkomesha hapo alipokufikisha central , naww umsomeshe namba.

Kwan namba yake ya simu huna??? Waivo ndo wakufanya Mwaka mpya ,auonee akiwa central.
 
Namba yake ninayo sema sijui ata chakumfanya
 
Jf ni burudani nzuri kushinda match ya liver na man u au madrid na barca. nimecheka sana kwenye huu uzi
 
Usiogope, wala usiogope ... Najua kilichoendelea ndio kilichokulaximisha utolewe pesa.

Ulikua unatafuta pesa, sina hakika sana kama wee ndo umetoa pesa kwa kutaka..bali wamekulazimisha.

Usiwe mwoga, polis sometime niyetu sote !!!
Unavyo ongea kama vile ulikuopo uko sahihi kabisa we umejuaje?
 
Kama wamemlazimisha hakutakiwa kutoa na yeye angewafikisha police hahahahahahahahahah
Usiogope, wala usiogope ... Najua kilichoendelea ndio kilichokulaximisha utolewe pesa.

Ulikua unatafuta pesa, sina hakika sana kama wee ndo umetoa pesa kwa kutaka..bali wamekulazimisha.

Usiwe mwoga, polis sometime niyetu sote !!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…